Archivo de la etiqueta: Yanga

Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022

Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Camisetas … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 30 comentarios

Magoli | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 15/06/2022

YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 44 comentarios

Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022

YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 46 comentarios

Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022

KARIAKOO DERBY: Kwa mara ya pili msimu huukwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, derby ya Kariakoo, Yanga na Simba inamalizika bila goli lolote kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Licha ya kutokuwepo mabao…. ilikuwa ni mechi dume … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , | 22 comentarios