Archivo de la etiqueta: Simba Mtibwa

Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League -23/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yametoka kwa Pape Sakho na Peter Banda. Camisetas … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , | 12 comentarios