Archivo de la etiqueta: Ruvu Shooting

Ruvu Shooting 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 29/06/2022

Tazama yaliyojiri katika mechi ya kutamatisha msimu wa 2021/2022 Ligi Kuu ya NBC kati ya timu ya Ruvu Shooting na Tanzania Prisons, Ruvu wamefanikiwa kuondoka na alama zote tatu na kujihakikishia kubaki kwenye ligi kwa msimu ujao wa 2022/2023. Camisetas … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , | 2 comentarios