Archivo de la etiqueta: Polisi Tanzania

Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022

Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Camisetas … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 30 comentarios

Magoli | Namungo 1-2 Polisi Tanzania | NBC Premier League 16/06/2022

Magoli mawili ya Tariq Seif yameipa ushindi wa 2-1 ugenini Polisi Tanzania dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Goli pekee la Namungo limepatikana dakika ya 2 ya mchezo baada ya beki wa Polisi Hussein Bakari kujifunga. … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 7 comentarios