Archivo de la etiqueta: michezo

Simba 3-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 16/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Pape Osman Sakho amefunga magoli moja likiwa la penati huku … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 29 comentarios

Magoli yote | Simba 3-0 Mbeya City | NBC Premier League 16/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Pape Osman Sakho amefunga magoli moja likiwa la penati huku … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 40 comentarios

Magoli | Namungo 1-2 Polisi Tanzania | NBC Premier League 16/06/2022

Magoli mawili ya Tariq Seif yameipa ushindi wa 2-1 ugenini Polisi Tanzania dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Goli pekee la Namungo limepatikana dakika ya 2 ya mchezo baada ya beki wa Polisi Hussein Bakari kujifunga. … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 7 comentarios