Archivo de la etiqueta: KMC

Magoli | KMC 4-1 Mbeya Kwanza | NBC Premier League 22/06/2022

REKODI MPYA: Timu ya Mbeya Kwanza wamejifunga magoli matatu na kuipa KMC ushindi wa 4-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu, beki wa Mbeya Kwanza, Geofrey Muha amejifunga magoli mawili, Rolland … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 18 comentarios

Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. KMC wametangulia kupata bao kupitia kwa Hassan Kabunda dakika ya 41 kabla ya … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 47 comentarios

Simba 3-1 KMC | Highlights | NBC Premier League 19/06/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. KMC wametangulia kupata bao kupitia kwa Hassan Kabunda dakika ya 41 kabla ya … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 30 comentarios