Archivo de la etiqueta: Dodoma-jiji

Magoli | DodomaJiji 1-1 Biashara United | Liga Premier NBC 21/11/2021

Dodoma Jiji na Biashara United zimeumana na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Dodoma Jiji wameanza kupata bao lao dakika ya 10 kupitia kwa Anuary Jabir na Biashara kusawazisha … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , | 4 comentarios