Archivo del Autor: Azam TV

Magoli | Simba 3-1 Singida Grandes Estrellas | Liga Premier NBC 02/03/2023

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Simba yamefungwa Jean Baleke dakika ya 8, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 21 na Pape Sakho dakika ya … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 28 comentarios

Goli la Mbeya Kwanza wakiwachapa Tanzania Prisons 1-0 NBC Premier League 05/05/2022

Goli pekee la penati kutoka kwa Deo Minga limeipa Mbeya Kwanza alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Majimaji Songea. Hivi ndivyo ilivyotokea. Camisetas Manchester City Consulta las últimas noticias sobre fútbol … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , | 6 comentarios

Magoli | DodomaJiji 1-1 Biashara United | Liga Premier NBC 21/11/2021

Dodoma Jiji na Biashara United zimeumana na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Dodoma Jiji wameanza kupata bao lao dakika ya 10 kupitia kwa Anuary Jabir na Biashara kusawazisha … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , | 4 comentarios

YANGA TV 11/05/2021 | Moto wa Yanga kwenye NBC Premier League

Tazama safari ya #Wananchi kwenye NBC Premier League baada ya kucheza mechi tano na kushinda zote. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: ►TWITTER: ►FACEBOOK: ►SITIO WEB: Camisetas MÉXICO Información corporativa y noticias relevantes sobre Driblab, la consultora especializada … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , | 25 comentarios

Magoli | Malindi 2-1 Kisiwani | Premier League de Zanzíbar 25/03/2022

Timu ya Malindi SC imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Kisiwani FC katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar #PBZPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Amaan Zanzibar. Magoli ya Malindi yametoka kwa Mohamed Mussa dakika ya 16′ na Juma … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , | 2 comentarios

Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | Liga Premier Sub-20

YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj. Magoli ya Yanga … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , | 22 comentarios

GSM yajiondoa udhamini mwenza NBC Premier League

Msikie Afisa Biashara Mkuu wa kampuni ya GSM, Allan Chonjo alipokuwa akitangaza kujiondoa kwao kwenye udhamini mwenza wa NBC Premier League. Camisetas Deportivo Alavés Todas las noticias, resultados y clasificaciones de las ligas de futbol de la Comunidad de Madrid.

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , | 29 comentarios

Magoli | Simba 2-0 Kagera Azúcar | Liga Premier NBC 20/08/2022

Goli la Dejan Georgijevic dakika ya 81 na la Moses Phiri dakika ya 42 yametosha kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hola ni mechi ya raundi ya pili … Sigue leyendo

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , | 45 comentarios

Penati zote | Mtibwa Sugar (penati 9-8) Azam FC | U20 Premier League 15/07/2022

Tazama penati zilizoipeleka Mtibwa Sugar fainali baada ya kuibwaga Azam FC kwa jumla ya mikwaju 9-8 Camisetas Juventus Información de primera mano del primer equipo de fútbol del Barça. Noticias de Piqué, Ansu Fati, Pedri y todos tus jugadores favoritos.

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , , | 10 comentarios

Shangwe la Mabingwa | Mbeya Kwanza 1-4 Mtibwa Sugar | U20 Premier League 17/07/2022

Shangwe la Mtibwa Sugar baada ya kuhakikisha kombe linarudi tena Morogoro Camisetas EGIPTO Información de primera mano del primer equipo de fútbol del Barça. Noticias de Piqué, Ansu Fati, Pedri y todos tus jugadores favoritos.

Publicado en Fútbol Internacional | Etiquetado , , , , , , , , | 6 comentarios