Magoli | Simba 3-1 Singida Grandes Estrellas | Liga Premier NBC 02/03/2023



Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Simba yamefungwa Jean Baleke dakika ya 8, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 21 na Pape Sakho dakika ya 63 huku goli pekee la Singida likitoka kwa Bruno Gomes aliyefunga kwa free kick dakika ya 35.

Camisetas PERU Información corporativa y noticias relevantes sobre Driblab, la consultora especializada en análisis deportivos especializada en fútbol.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

28 respuestas a Magoli | Simba 3-1 Singida Grandes Estrellas | Liga Premier NBC 02/03/2023

  1. Mungu tunaomba umbariki chama

  2. Tunaisubili Club Bingwa
    Kuna Watu Anasema Hatufiki Makundi Watajutia Tukifika Makundi na Robo na Nusu Fainal

  3. Benn Nyamubi dijo:

    Pape sakho ni mchezaji mwenye qult ya viwango vya Hali ya juu mwache2 aendelee kutupa Raha Wana Simba lakn huyu sakho ipo siku atakuja ua goli kipa maana so Kwa mashuti hayo hatal sana huyu mwamba bigup kakwe

  4. Stephen Ziro dijo:

    Mnaona tu goli la sakho ,Hilo la Gomez vipi wenzangu mbona kama hamtaki kukubali

  5. cjcjdisi dijo:

    НЕ ЧИТАЙ ЭТО!!
    Я ПРЕДУПРЕЖДАЮ…
    если ты это прочитал разошли это сообщение в 5 игр иначе твоя мама умрет через 2 дня!
    знаю что бред но не могу проигнорировать боюсь – вот нахера такое слать, а?
    Прошу прощения!

  6. Kweli waweza kufa kwa raha 😄mpira mtam sanaaaa

  7. ernest King dijo:

    Mpenja tunaomba jina jipya la baleke plz🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  8. Sakho anajua Kama Ronaldo

  9. nyie nyie nyie simba so pieces shet gus

  10. Naliaakwafraaa sako wewweeee

  11. Omary Muya dijo:

    Ila iposiku mbape atauwa kipa au kupelekwa hospital jamni daaa nihatali

  12. Kweli kocha mizuka mingi sana hata mim simuelew kidgo labda tusubilie mbele itakuwaje ,

  13. Remytory dijo:

    Mbona huyu kocha wetu mpya ni kama ana wenge au ni mimi ndo namuangalia kwa mawenge

  14. Yusra Yusra dijo:

    Simba raha Sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  15. Yusra Yusra dijo:

    Naipenda simba 🤗❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ hii nd simba. Ya ss

  16. Huyu goalkeeper aibu zote ziwe kwake…!

Los comentarios están cerrados.