Goli la Mbeya Kwanza wakiwachapa Tanzania Prisons 1-0 NBC Premier League 05/05/2022Goli pekee la penati kutoka kwa Deo Minga limeipa Mbeya Kwanza alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Majimaji Songea. Hivi ndivyo ilivyotokea.

Camisetas Manchester City Consulta las últimas noticias sobre fútbol nacional e internacional. Todas las competiciones, fichajes y análisis de los mejores partidos

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

6 respuestas a Goli la Mbeya Kwanza wakiwachapa Tanzania Prisons 1-0 NBC Premier League 05/05/2022

 1. Ikulu ni Mahali patakatifu dijo:

  Ongera mbeya Kwanza ,

 2. Jeremiah Msemwa dijo:

  Hiyo ndo majimaji stadium na mtakuja 💪🔥🔥

 3. Isaac Mwaseba dijo:

  Mmh sasa hapo kuna kushangilia kweli timu zote za kwetu sijapenda nyie mbeya kwanza.

 4. tzyetu moja dijo:

  Yaani hata azam anaweza kushuka 🤣🤣🤣😃

 5. smf kingdom dijo:

  Check balaa la buku jero
  https://youtu.be/-2c5yHsFuvU

 6. Ally Kasanzu dijo:

  Vita ya kutoshuka daraja ni ngumu sana😂

Los comentarios están cerrados.