Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | Liga Premier Sub-20



YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yohanda Ndushi na Abby Mikimba. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: ►TWITTER: ►FACEBOOK: ►SITIO WEB:

Camisetas ESTADOS UNIDOS Un jugador muere por un golpe en un partido de fútbol. EFE. Javier Tebas acompaña la cena de Nochebuena de Cruz Blanca Huesca.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

22 respuestas a Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | Liga Premier Sub-20

  1. Cosmas Bravo dijo:

    Nyanda Bomoa babaangu bald mbn safi tu tuqwe makin askli waku siku nyingne

  2. Dactor jamaniiii ana tumbwizaaaaaaaa hahahahahahah

  3. Kwani kwenye ligi hii ya und20 Nani anaongoza ligi

  4. Daa hatari saaana 💛💚💛💚🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏💯💯💯

  5. Mm Sina timu,ila YANGA IKIFUNGWA NAJISKIA VIBAYA,HADI HOMA.YANGA,YANGA,YANGA.

  6. zaburi jr dijo:

    Hao madogo waliofunga sarpong haoni ndani 🤣🤣🤣🤣🤣

  7. Marwa Chacha dijo:

    Huyo dogo aliye funga goli la pili anamzidi Fiston x 10000

  8. Juma Julius dijo:

    Heeeee 🤨🤨🤨hii tabia ya yanga ya longball uwa mpk kwa watoto

  9. Kassim omar dijo:

    Bora Hawa kama kaka zao

  10. Wakiwa wakubwa watakuwa utopolo kisha

  11. Felix magulu dijo:

    Hawa vijana wa Yanga kikosi chao kipo vizuri sana.

  12. Boss Jo dijo:

    OYAA NIAMININI MIMI HAWA SIO U20 WOTE HAO WAMEFOJI UMRI😅🤣😅🤣😅🤣😅🤣😅🤣

  13. Hi u20 mbn inatisha jmn yangaaa 💛💚 oyeeeee

  14. Yacen Haruna dijo:

    Vjana wana speed sana, kikubwa tuwatia nguvu tu kwa kla ha2a

  15. Faiza Ahamd dijo:

    YANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeee DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💛💚💛💚💛

  16. Hawa kweli ni under 20 au macho yangu tu

Los comentarios están cerrados.