Magoli | Simba 2-0 Kagera Azúcar | Liga Premier NBC 20/08/2022



Goli la Dejan Georgijevic dakika ya 81 na la Moses Phiri dakika ya 42 yametosha kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hola ni mechi ya raundi ya pili kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague

Camisetas ALEMANIA Actualidad y últimas noticias de Portada Fútbol con La Provincia. Toda la información y última hora de Portada Fútbol.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

45 respuestas a Magoli | Simba 2-0 Kagera Azúcar | Liga Premier NBC 20/08/2022

  1. Hemed Daud dijo:

    Michezaji ya bongo mda mwingine ni ovyo sana, sasa mzamilu alikua anapiga pasi au

  2. Mzungu kafunga midomo mitandaoni

  3. Mussa Mmanga dijo:

    Washabiki wa Tanzania ni wanafiki, wanataka mchezaji mechi ya kwanza tu afunge.Tuwache ushabiki maandazi.Tuwachie makocha na wachezaji wafanye kazi.
    Mchezo wa mpira unamatokeo matatu ilo mkumbuke.Haiwezekani ushinde wewe tuu! Kwani hao wengine wamezimia?

  4. Lewandowski mtupu!🔥🔥

  5. ndMox dijo:

    Hatujamalidhaaaaaaaa

  6. Hasani Hamis dijo:

    Haiwezi kutuua Simba ya kwetu wenyew

  7. haijawahi kutokea kanout akacheka mzungu leo kafanya kanout amecheka

  8. I'm watching from England…this is an amazing team..I will travell to Tanzania to deem it more..

  9. Alichokifanya mzungu kitamuongezea confidence hakika baada ya muda wa2 watamwelewa!

  10. Tuseme tu ukwel mzungu akuna mchezaji mechi inayokuja mtakuja kuamin maneno yangu

  11. Leta mzungu,kafanya kweli…🦁⚽🇹🇿

  12. Chacha Mwita dijo:

    kufunga atafunga lkn sio kuifunga yanga ndugu

  13. Sijui mwenda alikuwa anampasia nani ule mpira kwasababu haikumlenga mtu Wala haikulenga goli na dejani alikuwa anaomba ,

  14. HIVI JANA KULIKUWA NA MECHI NYINGINE AU NI HII TU YA SIMBA? KWANI SISIKII TIMU NYINGINE ZAIDI YA SIMBA NA LETE MZUNGU KILA. TAAA😂😂😂😂

  15. goli 1 majeruhi wa 3 haijawahi tokea 😂😂😂😂

  16. DUUUU.. KWELI HILI GOLI NI HATARI MPAKA #KANUTI KACHEKA 😂😂😂😂

  17. Nasibu Janga dijo:

    Goli zuri ila najiuliza huyu mwenda esabu yake ilikua ni nin naona ule mpira ulikua haujulikan niwafung goli au niwakumpasia mzungu goli kipa angekua makin mzungu asinge fung najua uwanjan pagumu ila dogo akaze asituchanganye hata kwenye ngao mipira yake haikuelewe anafanya wat wamkatae mzungu namshaur kocha akimpnga mzungu ampange na kapombe sio mwenda same time azingua

  18. Frank Kalebu dijo:

    Wafungaji NBC premier league

  19. Nimelipenda goli la dejan yaan n 🔥🔥🔥🔥

  20. Woyooooo mlete mdhunguuuu🤣🤣🤣👏👏👏 #NguvuMoj🦁🦁🔥🔥🔥🔥💪🏽💪🏽

  21. KIPA WA KAGERA HAKUNA KITU, HAJITUMII🥴🥴 SIO MPAMBANAJI

  22. Gharibu mzinga ww ni mwamba wa kwanza kutangaza goli la mzungu , anafunga huyooooo…..

  23. Zumbe Shauri dijo:

    Hakika kweli mzungu ana balaa alikua haja pata nafasi gori zuri kweli kweli

  24. Sasa Cha ajabu ni nn hapo mbona goli la kawaida na huyu mzungu ni stireker sio kipa kufunga ndo kawaida asipofunga ndo maajabu….

  25. Hakuna goli la ufundi kiukweli mmakocha was kizungu wanatupiga tu

  26. David Nyingo dijo:

    Mzungu kamfunika Mandonga. Ni muda wa Muzungu

  27. Anajua huyo anabalaaa huyo mlete mzungu

  28. Ahmed Hbuba dijo:

    قلت لكم هذه اللاعب اشتي وقته ينفجر انا نعرف اللاعبين

  29. Ahmed Hbuba dijo:

    سيمبا فيه المتعه والامتاع والروعه

Los comentarios están cerrados.