Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League -23/06/2022



Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Magoli ya Simba yametoka kwa Pape Sakho na Peter Banda.

Camisetas Inter Milan Página web oficial del Universidad Católica de Murcia CF. Noticias, fotografías, resultados y todo lo que necesitas saber del equipo universitario.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

12 respuestas a Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League -23/06/2022

  1. Mpira wa kitabuni upo simba na wachezaji bora na talented wapo simba huko kwingne uganga wa kienyeji tuu

  2. Samwel Simon dijo:

    Kwakweli sakho ni zaidi ya burudani

  3. loy Samwely dijo:

    Ben kakoranya ni?????

  4. Mrim , h dijo:

    Man of the match beno kakolanya ??

  5. shida sijui nini mpaka sasa imechelewa hii mechi

  6. Hv kwa nn high light za nyingi hucheleweshwa

  7. ingu j dijo:

    na mmechelewa kuweka mechi yetu

Los comentarios están cerrados.