Magoli | KMC 4-1 Mbeya Kwanza | NBC Premier League 22/06/2022REKODI MPYA: Timu ya Mbeya Kwanza wamejifunga magoli matatu na kuipa KMC ushindi wa 4-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Katika mchezo huu, beki wa Mbeya Kwanza, Geofrey Muha amejifunga magoli mawili, Rolland Msonjo naye akajifunga moja…. huku likingine likifungwa kwa penati kupitia kwa Matheo Anthony.

Goli pekee la Mbeya Kwanza limefungwa na habib Kyombo.

Camisetas Manchester United La actualidad del futbol de Castilla y León al completo. Todo el fútbol minuto a minuto. Partidos, resultados, jugadores. Fotos y vídeos

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

18 respuestas a Magoli | KMC 4-1 Mbeya Kwanza | NBC Premier League 22/06/2022

 1. producer MikMer dijo:

  Hivi hawa maHome boy wapo siliasi kweli

  Haya magoli yanachekesha haijawahi kutokea ligi kuu mechi kama hii???? mkajifunge magoli matatu kweli

 2. Daudi Mwamwaja dijo:

  Timu imexhakata tamaa,arafu uongozi w azam inafika maara inawapaswa mjiongezee ongezeni majukwaa hyo pesa z ukwaju mnapeleka wapi

 3. Benjamin daniel Duday dijo:

  Mlikuja kwa mbwembwe mtarudi mavumbini bila huruma

 4. Maalim Rajabu dijo:

  Siku ya kufa nyani miti yote hukatika

 5. Maalim Rajabu dijo:

  Kwa herini mbeya kwanza ligi kuu

 6. ynashe dijo:

  Kujifunga magoli matatu nawaza ingekuwa simba au yanga maana hata nguvu za kucheka zimeniisha

 7. Faki dijo:

  ?????????????? kumanishaaaa! ninii

 8. Emmanuel Masse dijo:

  Kwaheli mbeya mwisho

 9. Mwana Lau dijo:

  By by mbeya kwanza

 10. Abdul Jalil dijo:

  Inaonekana ni mechi fixing hii.

 11. md alamgir dijo:

  Muguzi anywa uji wa mgonjwa

 12. Kasto Mwaipopo dijo:

  Uyo beki ni wa mchongo???

 13. Isdor Chuvu dijo:

  Huu uwanja wa Azam wangeujengea majukwaa tu.

 14. DAVID JACKSON dijo:

  ???????

 15. Tim Cee dijo:

  kwaheri mbeya kwanza karibu ihefu,

 16. Mohamed Idd dijo:

  ????? ngumu kumeza hii

 17. Sifa Masasila dijo:

  Dah hatar

 18. WILSON FBI POLICE ??911 dijo:

  ???huyo beki leo ilikuwa siku mbaya kwake muha

Los comentarios están cerrados.