Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022



Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

KMC wametangulia kupata bao kupitia kwa Hassan Kabunda dakika ya 41 kabla ya Simba kuchomoa kwa goli la Kibu Denis dakika ya 52, kasha Pape Sakho akaongeza la pili dakika 63 na Henock Inonga akafunga hesabu dakika ya 66.

Camisetas Celtic Entérate de las últimas noticias del fútbol español y europeo. Con las principales novedades de la Liga y la Champions League.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

47 respuestas a Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022

  1. Deus Morris dijo:

    yanga ni wachawi msimu huu muite wachungaji waje kuwaombea wachezaji na timu kwa ujumla waliwaloga wachwzaji

  2. chriss g dijo:

    Hii ndo simba ninayoijua mimi! Ile nyingine ya Pablo hapana!!

  3. Huwa sichoki kushamgilia Simba yangu

  4. Julius Isack dijo:

    Simba hatuna kombe ilaa mashabiki wanafuraia TEAM YAOO….hii ndio maana ya nguvu mojaa???❤️

  5. nawaombea wachezaji wa simba waendage baselona na asenal

  6. Simba ikiwa haijalogwa na yanga inakua tamu balaa

  7. yamefungwa magol ya champions league hakika ndo mechi bora msimu huu kwangu mimi najiuliza tu ingekua sakho anacheza ile timu ya wamang'ati sijui angepewa ng'ombe wangap goli hili mchezo bhana hauitaj hasira

  8. Makolo wanagombania nn sasa????

  9. Mansour Juma dijo:

    Pape Sakho Goli 1 assist 2. Good performance for him

  10. Simba nguvu moja tushawazoea hao utopolo watapigwa ndani nje nakurudi nyumbn

  11. Simba nguvu moja tushawazoea hao utopolo watapigwa ndani nje nakurudi nyumbn

  12. Halima Juma dijo:

    Et jamn pamoj na kwamb tumepotez ubingwa na si tumerizia juu ya hilo lkn huk utopolo mioyo yao inawauma simba ikpata matokeo mazur yn jamn kwel hilo jina limewafaa hayana akil kabsa

  13. Jema Nassoro dijo:

    Kwaiyo nyie mnagombea nn hahahaha

  14. Baraka nakukubali mno bro mungu akujalie afya njema kila iitwapo leo unafanya kazi yako kwa ufanisi mzuri sana

  15. Kwa moto huu was tatu tatu,kutwa Mara tatu,mnaokwenda nao sasa MAKOLO,hakika mnakwenda kutwaa ndoo ya Ligi kuu 2021/2022.

  16. Alice Nice dijo:

    Sasa uyi kavua jezi ya nini? ???

  17. Chief Majai dijo:

    Ukisitajabu ya kukosa ubingwa utaona ya mchezaji kuvua jezi

  18. Eddy Gonza dijo:

    Hahahahahaaaaaa ligi bado inaendelea kumbe

  19. Amina Babu dijo:

    Jamn ss watanzania hatun iman na watanzania wenzetu matola mech ya3 hiii kam skosei haja droop wall kufungwa kwani shida ipo wap jamb

  20. Fatma Ali dijo:

    Wafalme tupo lini young african

  21. Utopolo amepotelea wapi mchukua video

  22. Bolinga ya Congo oyeeeeeeeee tamu samu,kichwa Cha kigaidi km magaidi wa MK 23 au hahaaaaa

  23. INONGA oyeeeeeeeee yaaani kipimo chako cha KIMATAIFA

  24. SACO anasema anatumia akili

  25. Za SACO utaogelea usithubutu

  26. Kanifurahisha tu huyo dada aliye kwenye hilo bango baada ya Kmc kufunga tu akashangilia kwa kupiga makofi sana kibao kilivyogeuka sasa alienda kulilia chooni

  27. Uyo sakho anacheza kwa mabeki wabovu

  28. baraka jkadu dijo:

    simba wapunguza point walizo achwa na mabingwa yanga hahahahahah

  29. Acha tuburudike tunaipenda Simba

  30. Simba haina mbadala itabak kua simba tu

Los comentarios están cerrados.