Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi.

Camisetas Tottenham Hotspur Últimas Noticias de Fútbol. Resultados, partidos y fotos del Fútbol Mexicano, Argentino, Español, Italiano y todas las ligas de fútbol del mundo.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

46 respuestas a Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022

 1. Ya Wote dijo:

  naomba usubscribe kwa habari za michezo

 2. Roudha Mahmoud dijo:

  Nimependa staili ya kufunga goli la 3

 3. Julius Magoti dijo:

  Nimeangalia mechi na kurudi several times, sijafahamu sababu ya refa kulikataa goli la Aucho. Hapakuwa na faulo yoyote pale

 4. Deus Ngalaba tv dijo:

  Sw

 5. Malik zafarani dijo:

  Daaah yanga hatari

 6. زيتون تنزانيا dijo:

  Chiko aliandika kufa nakupona

 7. Phonce Nahongejr dijo:

  https://youtu.be/yjDn28eiPvg
  Angalia hapa goal la 3 la mayele yapo mengi na sio offside sas kuna wapuuzi wasiojua mpira wanasema ni offside

 8. Tonny boycheza dijo:

  Yanga mpo

 9. Francis Mnanka dijo:

  Good

 10. Sniper Short dijo:

  Kwani A.F.C nalo linasemaje

 11. Tam tam msongareri dijo:

  Geita gold

 12. Ombeni Mbuma dijo:

  Hivi MTU una akili zako timamu umeacha kazi zako tanga umekuja dar kuja kuishangilia costr kwamba it's shinda dhidi ya yanga dah hayo maajabu

 13. Siryvester Charles dijo:

  Usajili mpya yanga

 14. Daud Khatib dijo:

  Wakowapii. Pumzii. Ya motoo????

 15. Samweli Igengu dijo:

  Hivi mmemuona mchezaj wa CST alivyo shika tumbo💚💛💚🏆🏆🏆👏👏

 16. Ramadhan Mugoroba dijo:

  M

 17. Abdu Kalembo dijo:

  Uyu mzungu anasubiri mayere afunge yy ashangilie duh

 18. Kijani Saini dijo:

  Goli latatu dah watu akili nyingi

 19. Scholar Haule dijo:

  YANGAAAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2021-2022 MAKOLO MULI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

 20. Jubilate Manase dijo:

  Ukiangalia kwa makini unaona kabisa mpira wetu ulivyo unahitaji nguvu zaidi kuliko akili ndo maana Pablo amefeli🙌

 21. Mwajuma Ngoswe dijo:

  Yanga balaaa

 22. Zuberi ahamadi dijo:

  Viva yanga😂😂

 23. muddy muzungu dijo:

  Kweli mapenzi hayafichiki
  Truly mpenja ni RED
  Sikiliza vizuri 16:14/19:52
  Utajua namaanisha nn

 24. Abiolla Shayo dijo:

  OFF SIDE GOLI LA 3 NO DOUT

 25. muddy muzungu dijo:

  Man of the match!

  SURE BOY 👦

 26. Hemedi jr dijo:

  Ila huyu vicent wa kosti sio mtu mzuri duh

 27. Musa Ibrahim dijo:

  Mmeona yaniki alichokifanya 🤣🤣cjawai ona toka ligi imeanza

 28. Subira Mohamed dijo:

  Feisal anakiwango cha juu sn kwny soka na km ana Nia ya kufika mbali kisoka basi huu n MDA wake

 29. Vin dizo Anthony dijo:

  Yanga tam

 30. Sheila Muda dijo:

  2022-2023 Yanga tena Bingwa ukibisha rudi tena mahabara

 31. Pokémon Go dijo:

  Tanzania has many beautiful studium. Why can't they host AfCN or CAN?

 32. Clara Chikojo dijo:

  Huyo refa sijui ni WA coastal union sio kwa kuwabeba huko

 33. Halima Kawambwa dijo:

  Mtu anakuuliza unafanya kazi gan unafikili kushabikia yanga kazi ndogo 💚💛💚💛

 34. Pendo Samwel dijo:

  aaaaaa mayele ndo huyohuyo amemwsgilia mioyo ya wananchi nanukuu tuuu

 35. Pendo Samwel dijo:

  aaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndo huyohuyo king

 36. lameck dingoo dijo:

  be blessed

 37. Ali Bushiri dijo:

  Mayele asiuzwe bado anajitajka yanga Sana tu

 38. Mudy lipawaga dijo:

  💚💚💚💛💛💛💛

 39. SEURI SILANGA dijo:

  🔰🔰🔰🙏🙏🏆🏆

 40. wambura kebwabwa dijo:

  Yanga ndio timu Bora tz

 41. Wakusoma Juma dijo:

  Pp

 42. Magreth Lyanda dijo:

  Penda sana yanga

 43. Badru Shikeli dijo:

  Baraka Mpenja "Wanaoumia Ni Wengi Zaidi Ya Coastal Union…" nimeipenda hio 🤣🤣🤣🤣

 44. Alice Nice dijo:

  Team mpole wako wapi😂😂😂

 45. Annah Alex dijo:

  Goli la yanga lilikuwa linaamishwa aisee

 46. Mysara Mohamed dijo:

  Just Imagine Being Us😂😂💚💛💚💛👌👌💃💃🙌🙌🙌

Los comentarios están cerrados.