Magoli | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 15/06/2022YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi.

Haya hapa magoli

Camisetas Real Sociedad Información de primera mano del primer equipo de fútbol del Barça. Noticias de Piqué, Ansu Fati, Pedri y todos tus jugadores favoritos.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

44 respuestas a Magoli | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 15/06/2022

 1. Abirius Mlokozi dijo:

  Mlokozi

 2. Ginger boy tz dijo:

  Mayelee Mayelee Mayelee ?? onaa alivomchakazaa kipaa wa simbaa…..
  https://youtu.be/6y-izZqDJpM

 3. Balthazar Mahu dijo:

  No one like uuuu brother

 4. Japhet Joseph dijo:

  Life my

 5. Matilda Mandao dijo:

  Mayele anatetema unatisha

 6. Andrea Shayo dijo:

  Hii ndo yanga bwana

 7. Official Abdul dijo:

  Mayele hatari

 8. Nahashon Ken Omumia dijo:

  Matangazo yake Baraka Mpenja hayana mfano

 9. Kb Masopha dijo:

  IH ni kwa wanayanga wote waweza kutazam APA pia https://youtu.be/pFrgbnEwRCg

 10. Dativa Livingstone dijo:

  Hakika inavutiaaa

 11. stephen ogwa dijo:

  yanga tamu kweli

 12. Yona Laizer dijo:

  Yanga upendooo mwingi ubingwa rahaaa

 13. Twaribu Ramadhani dijo:

  Asante mung

 14. Winifrida dijo:

  Wanaoumia ni wengi kuliko coastal union??

 15. Hasani Mkamba dijo:

  Mwendo wa kutetema tu

 16. PATRICK MWANISENGA dijo:

  Used it

 17. Phoibe Joan dijo:

  Yanga juuuuuuuu

 18. AM Group of Companies dijo:

  Fantastic diplay

 19. Abisai Emilio dijo:

  Simba sp0rt club

 20. Abisai Emilio dijo:

  Simba

 21. Cisse La'merverille dijo:

  ???

 22. Emmanuel Bitungwa dijo:

  Huku Songea kuna Redio inaitwa Radio Jogoo then kuna mtangazaji aitwae Juma Moo…akitangaza mpira huo sasaaaaaa… anasema Goli la 3 ni Offside kabisa….jamaa anaboa balaaaaaaa…

 23. nass mapande dijo:

  ???

 24. Asha Yesau dijo:

  Usajiri

 25. Asha Athuman dijo:

  yanga tamu

 26. Swaumu John dijo:

  Yanga raha sana

 27. DELIMA CHESA dijo:

  GOAL LA TATU???

  GOAL BORA LA MSIMU SO FAR?

  TEAM WORK YA HALI YA JUU?

  BILA SHAKA NI GOAL LILILOANDALIWA MAZOEZINI…HAYA NDO MAGOAL AMBAYO HATA WATU WA MATAIFA YA SOKA NJE WAKIANGALIA WANASEMA YEEEES!!!??
  THIS IS FOOTBALL ?
  DESH YA FEISAL KUMUACHIA SURE BOY?
  CHOP YA SURE BOY FEISAL AKIWA ANAIINGIA NDANI YA BOX??
  DJUMA SHABAN ALIJUA YUKO OFFSIDE AKASIMAMA HAKUTAKA KUJIHUSISHA NA MPIRA?
  ASSIST YA FEISAL KWA MAYELE??
  UTULIVU NA FINISHING YA MAYELE???
  WHAAAAAT A GOAL??

 28. emmahtz dijo:

  Daah sjawah jutia kabsaa

 29. Innocent Ndelwa dijo:

  Wahooo

 30. Manyara Manyara dijo:

  Keep the ball rolling.??????

 31. Damian MCBA dijo:

  Pasi ya sure boy kwa Feisal sio mchezo,,,jamaa mpira anaujua

 32. Swamweli Teobady dijo:

  Mmmm hili goli la Chiko khaa kajitoa kweli

 33. YoungTaiz dijo:

  mayele mayele mayele

 34. Deo Ngonyan dijo:

  yanga.uyu.mayele.tusimuache

 35. Tusajigwe Kanemela dijo:

  Nacheka mwenyewe tu

 36. Amina Subira dijo:

  Woyooo Woyoooo Alhamdulillah Mwaka wetu na Kuendeleaaa???

 37. Mariam Sompo dijo:

  Mayelee

 38. Vedastus Bita dijo:

  Mayale hatari xana

 39. Juma Mohamed dijo:

  Ni myu mbaya sana

 40. Amadeo Kinyekile dijo:

  Saf sana majiran watasubir sana

Los comentarios están cerrados.