Magoli yote | Simba 3-0 Mbeya City | NBC Premier League 16/06/2022



Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Pape Osman Sakho amefunga magoli moja likiwa la penati huku goli la tatu likiwekwa nyavuni na Peter Banda.

Camisetas ISLANDIA Consulta las últimas noticias sobre fútbol nacional e internacional. Todas las competiciones, fichajes y análisis de los mejores partidos

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

40 respuestas a Magoli yote | Simba 3-0 Mbeya City | NBC Premier League 16/06/2022

  1. Manara aliondoka na kombe… Babra Mungu anakuona?

  2. Zelea Yusuf dijo:

    Alaf goli la pili kipa alitaka kumdaka Sakho tena ??????

  3. Halafu goli zote tatu zimeingia upande wa kulia mwa kipa

  4. Kwa mara ya kwanza Tanzania limetokea tukio la Kipa kumdaka Pape badala ya mpira ?.

  5. Gloria Alex dijo:

    Simbaa nguvu mojaa kombe ibelieve litarud mwakan

  6. Tunahtaj kombe letu lirudi mwakan

  7. Kwani haya ni mashindano gani?? Msimu si umalizika na Yanga ni bingwa

  8. Sako anayo control nzuri sana ya mpira,pasi ya kisigino ya Banda pia ilikua Super sana???

  9. Musa Francis dijo:

    Mlikuwa wapi kipindi chote hcho ???????

  10. Simba raha jmn ukiwa unaangalia unainjiyo

  11. Kwani angepiga shuti dogo ingekuaje

  12. Suzy Paul dijo:

    Chambua kama kama karangaaaa

  13. Simba daima mimi nisimba kuimba nimapokezano tu

  14. Suzy Paul dijo:

    Hahaha nikumbatie eeeee

  15. Mautopolo yanaropokwa tu

  16. Dah, simba na kudhangilia walishangilia ety

  17. JELAS NKOMA dijo:

    yaani Simba ni kama baskeli ya kunolea Visu unanyonga wee haiendi popote??

  18. baraka jkadu dijo:

    ety wameiga yanga kumpiga cost kwa gor 3 alafu tukatangaza ubingwa

  19. yanga hasa malimbukeni hawajauwona ubingwa miaka minne bs tena imekua duniani kama ndokwanza wao2 wachukue ubingwa mbwa wakubwa nyie

  20. Badru usikariri maish wes

  21. Hii mechi hata haina mvuto

  22. Irene haule dijo:

    imeisha iyo tunamalizia Ligi

  23. Gape la point zimebaki ngapi vile

  24. Elifrewjohn dijo:

    Kipa aliona bora penalty kuliko kuchengwa na skho?, Sakho akachukia akapiga mshut wa hasira kama kaka yake Mane na akagoma kunyunyuza, baadaye akamjibu tena kipa kwa kumchenga nafasi hii hata kumshika mwili ukawa mbali?, daah jamaa akaona hapa ndio sahihi ninyunyuze, akili mingi sana POS

Los comentarios están cerrados.