Simba 2-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 11/05/2022



Magoli mawili kutoka kwa Kibu Denis na John Bocco yameipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

Camisetas Lazio Actualidad y últimas noticias de Portada Fútbol con La Provincia. Toda la información y última hora de Portada Fútbol.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

27 respuestas a Simba 2-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 11/05/2022

  1. Kuna za Bocco sio OFFSIDE! Nice through passes Simba??

  2. penalt ya wazi kabisa hiyo

  3. Tazama Kisa Kinachozungumzia Sehemu ilipo milima waliyofungwa Yaajuja wa Maajuja |• Kwa zama Zetu Milima Hiyo Ipo Urusi |• Link To Video »» https://youtu.be/IcJeotve9xE ««

    »» https://youtu.be/IcJeotve9xE ««

  4. Sheikh Zayd : Kila Mwanadamu Amezaliwa na Jini Lake " Ndio sababu Mtoto hulia pindi anapozaliwa

    » link to video / https://youtu.be/bdcNuqUF5s8

  5. Tumenyimwa penati kapombe kabuluzwa

  6. Kurudisha mpira nyuma Mara kwa Mara wakati mbele wanaomba mpira simba mnauzi kuliko.na kupunguza idadi ya magoli,

  7. Asante mnyama unazidi kutupa raha

  8. Mnyama ni mnyama tu watatupisha sana kwa wenyekiti Love Simba hakuna kukata tamaaa

  9. Wahooooi Simba yangu jmni Hongera sana bado tunadhinda tu hatutaki mchezo sie yaan bdo kidogo mtupishe kiti chetu nyie utopolo sawa ee

  10. Simba sports club big Team Africa ???❤️?????

  11. Nimeangalia hilo goli la Boko na huyo kipa anavyorusharusha mikono kama …..yaani anajifanya kurusha mikono kama kamaindi wakati hata jitihada hakufanya za kuufata mpira. hiyo ni geresha tu lakini kipa kachemsha

  12. Bango limewaka,ngoja wadroo game1 tupambanie point 6?

  13. Simba raha ?????? hongera sana timu yangu ??✔️✔️

  14. Teddy Magori dijo:

    Mnyamaaaaaaaa oyooooooooo

  15. Boko amerudi kweny ubora wake

  16. nakubali sana
    chamalangu la simba

  17. 009Biafra? dijo:

    Ukisema upime ubora wa wachezaji kwenye hii ligi Simba ? wana wachezaji wenye vipaji sana.

  18. 009Biafra? dijo:

    Kama hii ligi ingekuwa na marefa timamu mpaka saiv simba angekuwa anaongoza Ligi.

  19. Captain fantastic goalSimba Nguvu moja

  20. ???? ??????? ??????? ??????????????

  21. nyaga nyaga dijo:

    Kagera watajuta wenyewe kutaka kucheza mchezo offside trick kwenye kipindi Cha kwanza na kipa wao si mwepesi sana. Kipindi Cha pili walinipa pressure tungekua hatuongezi wangetusumbua Sana. Dickson Mhilu na bwarya wameupiga mwingi Sana Jana na kibu ni hatari Sana

  22. Hongera sana Simba Sports Club

Los comentarios están cerrados.