Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022



KARIAKOO DERBY: Kwa mara ya pili msimu huukwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, derby ya Kariakoo, Yanga na Simba inamalizika bila goli lolote kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Licha ya kutokuwepo mabao…. ilikuwa ni mechi dume …. Tazama highlights uone baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri kwenye mchezo huo.

Camisetas Real Madrid Todas las noticias, resultados y clasificaciones de las ligas de futbol de la Comunidad de Madrid.

Esta entrada ha sido publicada en Fútbol Internacional y etiquetada como , , , , , , , , , , , , , , , , , . Guarda el enlace permanente.

22 respuestas a Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022

  1. Mwizi Nje, Fundi wao nje, msokota ugoro Nje, hapa nicheke kwanza?????????✅✅✅✅

  2. Kuna watu wanateseka kweli! ?✅✅✅✅

  3. Makolo et wakapewa 50:50 Kipindi Cha kwacha make hapa nicheke kwanza??????? kwa Mpira gani waliocheza

  4. Yanga kaanza na suluhu kwa simba halafu kabakisha michezo 9, ugenini atapona? na timu za ugenini zinavyotaka sifa , posho, rushwa na majina.

  5. Kwa hizi mechi zilizobaki Yanga akipigwa mechi 3, halafu Simba akishinda zote Simba Bingwa.

  6. Omary Omary dijo:

    hahahaha hapo nimeamini Amna kuonga wachezaji huwo ndo mpila wa yanga walioucheza Leo

  7. Ally Kaisi dijo:

    simba ndoo kilakitu ???

  8. Yani. Hapo kutoka Morrison na kanute na chama. Mngekoma basi mmemroga kocha wetu awayowe kiboko yenu

  9. MOJO music dijo:

    8:09 uyu mtangazaji ni Yanga bila shaka

  10. Salum Hiyari dijo:

    kibwana shomari=Morison +sakho+kibu Denis

  11. Morrison utaolewa na Yanga ukileta hashuo. Hapo upo kwa wananchi

  12. Highlight nzuri inatakiwa imezidi Sana dakika 9. Unaweza ukawa unairudia rudia hata sio hzo dakika 19 Tena zingine zina 27. Mnakera

  13. Azam Tafteni wataalam wa hko kwenye media, yaan highlight gan iwe na dakika 19? Alaf matukio ya kijinga jinga tu mnatuonesha. Yaan tureview zile dakika mbili za heshima, Kuna matukio muhimu na mazuri baadhi yao hayaonekani. Kutumalizia MB tu. Bora hata mungewapa ? times huenda wangeleta mitambo mingi na huenda wakawa wanatucholea na mistari ya offside.

Los comentarios están cerrados.